NAIBU
WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO MHESHIMIWA DK. PINDI CHANA (MB),
AFUNGUA MKUTANO MKUU WA BARAZA LA WATOTO LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,
MOROGORO TAREHE 11 MACHI, 2014
Mheshimiwa Dk. Pindi Chana Naibu Waziri
wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto (wa tatu kushoto waliokaa) akiwa katika
picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, wengine ni Nuru Milao Naibu Katibu
Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto (wa pili kulia), Tukae
Njiku Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Watoto Wizara ya Maendeleo ya Jamii,
Jinsia na Watoto, Ummy Jamaly Mwenyekiti wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania (wa tatu kulia), Sandra Bisin Mkuu
wa Mawasiliano na Ushirikiano kutokt UNICEF na Charles Elisante Katibu wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania.
Mheshimiwa Dk. Pindi Chana Naibu
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto akihutubia Wajumbe wa Baraza
la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
wengine ni Nuru Milao Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na
Watoto (wa kwanza kulia), Ummy Jamaly Mwenyekiti wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania (wa pili kulia) na Charles Elisante
Katibu wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania.
Wajumbe wa Baraza
la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ummy Jamaly Mwenyekiti wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania akihutubia Wajumbe wa Baraza
la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
katika Mkutano Mkuu wa siku mbili wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania mkoani Morogoro.




No comments:
Post a Comment